Home » » SUNGURA ANAYEONEKANA KWENYE SIKIO LA SANAMU LA NELSON MANDELA AZUA UTATA HUKO AFRIKA KUSINI

SUNGURA ANAYEONEKANA KWENYE SIKIO LA SANAMU LA NELSON MANDELA AZUA UTATA HUKO AFRIKA KUSINI

sungura

Msanii aliyetengeneza sanamu la Nelson mandela huko south africa ameingia kwenye matatizo makubwa, baada ya serikali hiyo ya south African kugundua kwamba kwenye sikio la sanamu hilo kuna ka sanamu pia kadogo ka panya, kama inavyo onekana kwenye picha. Serikali hiyo imeamuru panya huyo atolewe haraka kwani haileti picha nzuri au maana yoyote kuwepo na kitu kama hicho.

       Msanii huyo aliomba radhi kwa kutuma email kadhaa kwa serikali, lakini hakuna iliyojibiwa, baadae alipewa msamaha ila pia alijibu makosa kwanini aliamua kuweka kitu kama hicho kabla ya kutoa taarifa kwa serikali na pia kutoa maana yak

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger