Home » » MPENZI WA JACKIE CLIFF KWA MARA YA KWANZA TAANGU MPENZI WAKE AKAMATWE NA DAWA ZA KULEVYA CHINA

MPENZI WA JACKIE CLIFF KWA MARA YA KWANZA TAANGU MPENZI WAKE AKAMATWE NA DAWA ZA KULEVYA CHINA

Muimbaji wa kundi la Wakacha, Jux amefunguka kwa mara ya kwanza tangu mpenzi wake Jackie Cliff akamatwe na madawa ya kulevya aina ya heroin huko Macau, China, December mwaka jana.












Jackie alikamatwa na madawa hayo yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 220 akitokea Thailand.
Jux ambaye hajawahi kuuweka wazi uhusiano wake na Jackie jana alipost picha akiwa amekaa nje ya gari lililo mlango wazi huku akiwa amejiinamia na kuandika: Kila kitu kinatokea kwa sababu kwenye maisha.”
Hadi sasa hatma ya Jackie nchini China haijulikani na bado anashikiliwa napolisi. Kuna uwezekano mkubwa akafungwa jela huko huko.


 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger