Irene Esperius hapa akiwa katika Vazi la heshima. Alianza hivi kama masiara.. Picha ya kwanza Hatua iliyofuatia ni hii kwa picha ya pili.
KILA
kukicha tunalaumiwa sisi Bloggers eti tunawadhalilisha akinadada hoo
angekuwa dadaako ungepost?.. Yani maswali kibao wakati hawa wadada
wenyewe ndio wanapost sisi tunaziweka kama kukemea jamani wasomaji wetu
wa ukweli msitulaumu sisi hatuna makosa. Kwa mfano kama dada huyu
kazipost picha hizi za utupu mwenyewe kwenye Profile yake ya Facebook na
akawatag watu kibao.
PICHA hii ya ya tatu ni funga kazi imebidi tuifiche...!
Onyo! Ni marufuku kwa mtu yeyote mwenye umri wa chini ya miaka (18) kutazama.