Shabiki mmoja wa Simba alitoa kali ya mwaka baada ya kuchukua kipande cha jezi ya beki Kelvin Yondani na kujifutia makalio.
SHABIKI WA SIMBA AKIJIFUTIA MAKALIO YAKE KIPANDE CHA JEZI YA YONDANI HUKU AKIWAONYESHA MASHABIKI WA YANGA. |
Yondani
aliyewahi kukipiga Simba kabla ya kutua Yanga, aliwarushia mashabiki
hao jezi wakati akitoka uwanjani baada ya kupewa kadi nyekundu.
|
Nao
wakaigombea kwa takribani dakika mbili na kuichana vipande, halafu
shabiki huyo akachukua kipande chake na kuanza kujifuta makalio huku
akiyaelekeza kwenye upande wa mashabiki wa Yanga.