Home » » HAYA NDO MAJINA YA MAWAZIRI WALIONGELIWA NYADHIFA ZAO NA RAIS KIKWETE

HAYA NDO MAJINA YA MAWAZIRI WALIONGELIWA NYADHIFA ZAO NA RAIS KIKWETE

Jakaya Kikwete, president of Tanzania, answers questions at a press conference at the United Nations (UN) building in Addis Ababa, Ethiopia, during the 12th African Union (AU) Summit. 
Kufuatia majadiliano yanayoendelea Bungeni kuhusu ripoti iliyotolewa na kamati ya ardhi maliasili na utalii, Rais Jakaya Kikwete ametengua majukumu ya mawaziri wanne wa wizara za Maliasili na Utalii,Mambo ya Ndani,Ulinzi  na
Jeshi la kujenga Taifa,pamoja na Wizara ya Mifugo na Uvuvi.

Kufuatia maamuzi hayo mawaziri wa Wizara hizo ambao ni Balozi Khamis Kagasheki,Shamsi Vuai Nahodha,Emmanuel Nchimbi na Mathayo David Mathayo  wameondolewa rasmi nyadhifa zao za uwaziri katika wizara hizo hadi uamuzi mwingine utakapotangazwa na Rais.
WaziriMkuuMizengoPinda. 
Uamuzi huu wa Ris Kikwete umetangazwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati akijibu hoja zilizotolewa na Wabunge.
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger