Kinachoendelea KIGOMA muda huu na hata kwenye kwenye Maandamano Makubwa
ni hiki wanachama wa CHADEMA wakiandamana kupinga ujio wa Dr SLAA na
viongozi wenzake mkoani.Mods tunaomba postive na Negative Pictures anachokutana nacho Dr. Slaa ziruhusiwe hapa.
Jukwaani, naona watu wamekaa kusifiana tu hapa.
Ukweli ni Kwamba Dr. Slaa amekutana na wakati Mgumu akiwa Kigoma. Picha zingine zitakuja na saa mbili Usiku ITV, TBC NA STAR TV wataonesha hali ya leo Kigoma walivyojitokeza Kupinga Ujio wa Dr. Slaa. http://sangafesto.blogspot.com
