Home » » AIBU...!! WEMA AAMUA KUACHIA PICHA AKIWA KATIKA POZI LA NUSU UCHI...ZITAZAME HAPA..

AIBU...!! WEMA AAMUA KUACHIA PICHA AKIWA KATIKA POZI LA NUSU UCHI...ZITAZAME HAPA..




Wema Sepetu amejikuta  akijishushia  heshma  yake  baada ya kutupia  picha mtandaoni zikimuonesha akiwa amevaa mavazi yaliyoacha wazi baadhi ya sehemu nyeti za mwili wake  hasa  matiti, kitovu  na  kifua  kwa  ujumla.. 
 
Katika  picha  hizo  ambazo zinapatikana  instagram, Wema Sepetu anaonekana  akiwa amevaa kiblauzi chenye matundu kiasi cha kuifanya sidiria aliyovaa ionekane huku sehemu nyingine  kama  kitovu, tumbo  na  kifua  kwa   ujumla   zikiwa  wazi  pia.

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger