Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram,Diamond jana ame-share
picha ya nyumba hiyo na chini akatia neno..Shuka nayo.

''Toa kitu weka kitu...! Ndio tulivyo funzwa...stareh tunawaachia wajanja wa mji... #WCB #Wasafi for the Fkn Life!''
Haijajulikana mjengo huu uko maeneo gani wala umegharimu kiasi gani
ila inaendelea kudhihirisha mafanikio anayoendelea kuyapata Diamond.