Home » , » PICHA: MAKAHABA NA WATEJA WAO WALIOKAMATWA, WAKIWA MAHAKAMANI KWA AJILI YA KESI INAYOWAKABILI..!!

PICHA: MAKAHABA NA WATEJA WAO WALIOKAMATWA, WAKIWA MAHAKAMANI KWA AJILI YA KESI INAYOWAKABILI..!!


Wanawake wanaodaiwa kufanyabiashara ya ukahaba wakiwa Mahakama ya Jiji la Dar es Salaam, baada ya kukamatwa maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kinondoni. Oparesheni ya kuwakama wanawake hao inafanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni. 
Vijana waliokamtwa wakidaiwa kukutwa wakifanya mapenzi na wanawake hao wakificha sura zao wasipigwe picha.
  



 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger