Ho
Zhiliang, 24, raia wa China amezaliwa huku moyo wake ukiwa unaota
maeneo ya tumboni kama unavyo ona kwenye picha. Kijana huyu ana subiri
upasuaji ili kuweza kurekebisha kiungo hicho na kukirudisha mahali
kinapotakiwa kuwa.
Kweli
Mungu ni wa ajabu sana maana inasemekana watoto wengi wanao zaliwa na
tatizo hili hufa siku chache baada ya kuzaliwa lakini imekuwa tofauti
kwa huyu kijana ambaye ni kinyozi na ameamua kuishi maisha yake na hali
hiyo hadi pale alipo soma kwenye gazeti moja kwamba hali hiyo inaweza
rekebishwa kwa opareshi ambayo ndo anasubiria.