Home » , » HATIMAYE MAHAKAMA YAWATUPA JELA MIEZI 12 MASHABIKI WA MBEYA CITY WALIOLETA VURUGU SIKU YA MECHI DHIDI YA PRISONS..!!

HATIMAYE MAHAKAMA YAWATUPA JELA MIEZI 12 MASHABIKI WA MBEYA CITY WALIOLETA VURUGU SIKU YA MECHI DHIDI YA PRISONS..!!


MAHAKAMA ya mwanzo, mjini Mbeya, leo imewahukumu kifungo cha miezi 12 kwenda jela au kulipa faini ya sh.300,000 kila mmoja, watu watano kati ya sita walioshitakiwa kwa kosa la kuharibu mali katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Mbeya City na Tanzania Prisons.  Habari kamili inakuja...
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger