Home » » DIVA WA CLOUDS: NAMPENDA SANA LULU, NINGEKUWA MWANAUME NINGEMTONGOZA.....!! SOMA HAPA

DIVA WA CLOUDS: NAMPENDA SANA LULU, NINGEKUWA MWANAUME NINGEMTONGOZA.....!! SOMA HAPA

Mwanadada Loveness aka Diva the Boss mtangazaji wa clouds fm kipindi cha ala za roho,kinachozungumzia maswala ya mapenzi na mahusiano…..Jana usiku alijikuta akielezea hisia zake kwa Muigizaji  Elizabeth Michel aka Lulu “Kutoka moyoni nampenda sana huyu binti, ningekuwa mwanaume ningemfuata na kumu approach, sema mimi  ni mwanamke tu”.
Hii ilikuwa kabla ya kucheza wimbo wa atatamani ambayo ni version  ilioimbwa Lulu. Wimbo halisi uliimbwa   na Linnah msanii kutoka THT

Back in days .Diva kupitia account yake ya instagram aliwahi kupost picha hii ambayo ilizua utata….sasa baada ya kumsikia  nikashindwa kumuelewa…Jionee mwenyewe…then achia comment!

credit : domozege blog


 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger