Home » , » Hatimaye Diamond kuingiza sokoni Jeans,Viatu, Boxer na T. Shirt zenye lebo ya ‘WCB’ ....!

Hatimaye Diamond kuingiza sokoni Jeans,Viatu, Boxer na T. Shirt zenye lebo ya ‘WCB’ ....!

1170102_653572961330322_1781091457_n
Akizungumza jana na Clouds E ya Clouds TV ,Diamond alisema hivi karibuni atatumiwana sample za bidhaa hizo ili azihakiki na hatimaye ziingine madukani.
Nikweli tulikuwana na designer tofauti tofauti kutoka wasafi WCB’ lakini kwasasa zitakuwa za kiume tu ,kwa wanawake zitakuwa wachache ambao wanaweza kuvaa nguo za kiume kidogo,kwa wanawake bado nisiwe muongo,lakini zipo tayari. Kwasababu nikiwa China nilikuwa nashughulikia hivyo vitu. Lakini nikifanya chini chini kidogo kwasababu sikupenda vikichelewa halafu mwisho wa siku tuje tupigizane kelele, ‘mbona mulisema hazichelewi mbona zimechewa’, alisema Diamond.
Lakini vilitakiwa viwe tayari toka Jumatatu iliyopita,kwasababu nahakikisha quality nzuri isionekane tunafanya tu, ikabidi ichelewe. Kutakuwa viatu,jeans,kutakuwa kuna hadi boxer, T. Shirt, kofia mengi yatakuwa na mchanganyiko mchanganyiko kidogo kwasabubu vitakuwa vya vijana zaidi yaani dizaini kama wasafi tunavyovaa.


---Bongo5
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger