hapa waandaaji wanakagua kama kuna kitu kimebaki ili waanze kuwa kata kata
waandaaji wakikatakata panya katika vipande vipande tayari kw kurostiwa
hapa akikaangwa aada ya kukatwa katwa
katika hatua hii unaweza kula kama unasupu kwa pembeni
Huwezi amini kama huyu ni panya maana katika hali hii amekaushwa tayari kwa kuliwa
hatua za mwisho katika uandaaji wa meza tayari kwa kula
Watu wengi wamekuwa na ile mila kwamba panya huwa haliwi lakini kuna baadhi ya makabil hutumia hii kitu kama kitoweo ki ukweli ni watamu sana hawa akiandaliwa vizuri kama ambavyo unaona hapa tuondoe ile dhana potofu kwamba viumbe vingine haviliwi