Home » » WADADA WAZICHAPA HADHARANI WAKIGOMBANIA MWANAUME...!! TAZAMA PICHA HAPA..

WADADA WAZICHAPA HADHARANI WAKIGOMBANIA MWANAUME...!! TAZAMA PICHA HAPA..



Wadada wawili Warembo wa Mitaa ya kawe waliamua kuzichapa kavu kavu bila aibu mbele za watu tena mchana kweupe...!! Ugomvi huo ulizuka baada ya mdada mmoja kumtuhumu mwenzake anatembea na mwanaume wake...Inasemekana warembo hao ni marafiki wa damu kabisa ambao urafiki wao uliingia dosari baada ya mmoja kumchukulia mwenziwe bwana... 

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger