Huyu 
 ni  mkenya   aliyekuwa  ameiba  kuku.Wananchi  walipomnasa walimpa  
kichapo  kikali  na  kisha  kumfungia  ndani  ya  tenga  la  kuku  kwa  
ajili  ya  kumchoma  moto….
Wangali  katika  maandalizi  ya  kutafuta  petrol, polisi  waliwasili  eneo  la  tukio  na  kumuokoa  kwa  kumpeleka  kituoni.
Bofya hapo chini ili kuiona picha hiyo...
