Home » , » RAY AFUNGUKA..!"SINA MPANGO WA KUOA KWA SASA NA SWALA LA KUOA KWANGU NI KITENDAWILI, AMBACHO SIJAKIPATIA JIBU.."

RAY AFUNGUKA..!"SINA MPANGO WA KUOA KWA SASA NA SWALA LA KUOA KWANGU NI KITENDAWILI, AMBACHO SIJAKIPATIA JIBU.."


STAA wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amesema anainjoi kuishi maisha ya ubachela hivyo haoni umuhimu wa kuoa.

Akitema mbili tatu mbele ya kinasa sauti cha Stori, Ray aliyetamba kwenye sinema ya Ramadhani, alisema kwenye maisha yake anapenda zaidi kuwa bachela tofauti na wasanii wenzake ambao ndoa wanaona ni kitu cha haraka na kukipa kipaumbele.

Napenda maisha haya, sina mpango wa kuoa kwa sasa, niko kivyanguvyangu na suala la kuoa kwangu bado ni kitendawili ambacho bado sijakipatia majibu,” alisema Ray au The Greatest.

source: GPL

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger