Home » » TAZAMA PICHA ALIYOPOST WEMA INSTAGRAM AKIWA AMEVAA VIATU VINAVYOFANANA NA VYA DIAMOND ...

TAZAMA PICHA ALIYOPOST WEMA INSTAGRAM AKIWA AMEVAA VIATU VINAVYOFANANA NA VYA DIAMOND ...

wema
Takribani week sasa habari kubwa kuhusu mastaa Bongo ni story ya Diamond na Wema ,kurudiana
ambapo habari hizo bado ni tata kutokana na wahusika wote kutosema chochote kuhusu mahusiano yao.
ingawa kuna viashiria vingi vinavyozidisha utata wa mahusiano ya wawili hawa waliowah kuwa wapenzi zamani.
Wakati wakiendelea kutuchanganya ,kama unakumbuka tuliweka video ya diamond akikatiza ndani ya mitaa ya China akiwa amevaa nguo nyeusi na viatu vyeupe
Wema nae alipost picha Ikionyesha amevaa viatu kama alivyoonekana amevaa Diamond,utata siyo??
tazama picha na video kisha u judge mwenyewe.

 


 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger