MMMHHHH LAANA HII...!! MAMA MTU MZIMA ANASWA AKINYONYESHA MBUZI BADALA YA MTOTO WAKE..JIONEE HAPA

 
 Vituko vya wanawake duniani, mwanamke akitumia matiti yake kumpa mazia mbuzi, picha za ajabu.

KWELI POMBE SIYO CHAI..!! NJEMBA WALEWA CHAKALI NA KULALA MCHANA KWEUPEE..TAZAMA PICHA HAPA

Hawa jamaaa walikutwa mchana kweupe wamezima kwa kunywa Pombe nyingi na kuzidiwa..Muda huo wa mchana walitakiwa wawe kazini wakijenga Taifa lakini wao mi mitungi kwenda mbele.

HIVI MAVAZI KAMA HAYA SEHEMU ZA KAZINI YANAASHIRIA NINI....??

 
HAPA INAKUAJE,MWANAFUNZI ATAELEWA KWELI JAMANI?!!
Siku zote ukijiheshimu utaheshimiwa, kujiheshimu huko ni pamoja na mavazi tunayovaa jamani.....sasa imagine mwalimu anavaa mavazi kama haya ...wanafunzi wataelewa kweli?? ukizingatia kizazi hiki cha google...Tubadilike jamani !!

WASTARA:SITAKAA NI SAHAU SIKU ALIYOKUFA BABA WA TAIFA KWASABABU NDIO SIKU AMBAYO...??..SOMA ZAIDI HAPA..

Mcheza filamu mwenye jina kubwa bongo Wastara Juma amesema siku aliyokufa baba wa taifa hayati mwalimu Nyerere ndio siku aliyoanza kuigiza hivyo awezi kuhisahau siku hiyo kwenye maisha.yake
Amesema mchezo wake wakwanza alicheza na mzee Majuto uliitwa utaishia kunawa na kwamba hapo ndio ikawa mwanzo wa safari yake kwenye tasnia ya filamu
“Mchezo wangu wakwanza ni utaishia kunawa niliocheza na mzee majuto na weza kusema yeye aliona uwezo wangu kwa wakati ule mpaka.sasa na muheshimu sana“
Wastara mpaka sasa anajumla ya filamu zisizopungua 20 uku filamu yake mpya ya Shaymaa ikiendelea kufanya vizuri sokoni hivi karibuni anatarajia kuachia filamu yake mpaya inayoitwa ‘Last decision‘alikwa na Hemedy Sukeiman na wasanii wengine wengi


Credit: bongoclantz

7

PICHA 5:AGNESS MASOGANGE ANAJIANDAA KUWA BIBI HARUSI MTARAJIWA NINI...??


clip_image002AGNESS MASOGANGE
Naye mrembo na videoqueen mashuhuri tanzania AGNESS GERALD "masogange" naye hivi majuzi ameonesha picha za tattoo alizojichora na picha nyingine akichorwa kupitia mtandao  huohuo wa instagram huku akijiita "bibi harusi mtarajiwa"
hii imekuja baada ya Mlimbwende kutoka kenya Victoria Kiman kuachia picha zake akiwa na tattoo za aina hii mapajani pia. kama hukuwahi kuziona BOFYA HAPA
Hizi ni baadhi ya Picha zake alizoweka katika akaunti yake hiyo ya Instagram
clip_image002[6]
clip_image002[8]
clip_image002[10]
clip_image002[12]

DIVA WA CLOUDS: NAMPENDA SANA LULU, NINGEKUWA MWANAUME NINGEMTONGOZA.....!! SOMA HAPA

Mwanadada Loveness aka Diva the Boss mtangazaji wa clouds fm kipindi cha ala za roho,kinachozungumzia maswala ya mapenzi na mahusiano…..Jana usiku alijikuta akielezea hisia zake kwa Muigizaji  Elizabeth Michel aka Lulu “Kutoka moyoni nampenda sana huyu binti, ningekuwa mwanaume ningemfuata na kumu approach, sema mimi  ni mwanamke tu”.
Hii ilikuwa kabla ya kucheza wimbo wa atatamani ambayo ni version  ilioimbwa Lulu. Wimbo halisi uliimbwa   na Linnah msanii kutoka THT

Back in days .Diva kupitia account yake ya instagram aliwahi kupost picha hii ambayo ilizua utata….sasa baada ya kumsikia  nikashindwa kumuelewa…Jionee mwenyewe…then achia comment!

credit : domozege blog


MKE: NILIOLEWA ILI NIAMBUKIZWE UKIMWI...!! SOMA MKASA HUU WA KUSIKITISHA

UKISIKIA simulizi ya Hafsa Ramadhani (19) itakutia simanzi, itakutesa moyo na kukutoa machozi, huwezi kuamini aliingia kwenye ndoa bila kujua kuwa alikuwa akienda kukutana na ugonjwa wa ukimwi, Risasi Mchanganyiko linakufunulia.
Hafsa Ramadhani.
Habari kutoka chanzo chetu cha kuaminika zinasema, binti huyo alifanyiwa mipango ya ndoa bila yeye na mumewe huyo kupima kwanza maambukizi ya ugonjwa huo, ingawa tahadhari hiyo ilitolewa mapema kwa kuwa muoaji alikuwa akijulikana kuwa aliishi na ugonjwa huo kwa muda mrefu.
ILIKUWAJE?
“Huyo binti alitokea Bukoba, akaja hapa Dar es Salaam kutafuta kazi. Akaanza kufanya kazi za ndani, akiwa mdogo kabisa. Alihangaika kwenye nyumba mbalimbali lakini baadaye akafikia kwenye kituo cha watoto yatima (kwa sasa tunahifadhi jina), kipo Charambe ambapo alianza kuishi hapo,” kilipasha chanzo chetu kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini.
“Alipofikisha umri wa miaka 15 tu, wale watu wa pale kituoni wakamuozesha kwa jamaa mmoja (jina tunalo) ambaye kwa sasa ni marehemu. Huyo jamaa alikuwa akiishi na VVU na mbaya zaidi, hao watu wa hapo kituoni, walishauriwa kuhusu jambo hilo wakapuuza, ndiyo maana wengi wanaamini walimfanyia makusudi,” kilieleza chanzo hicho ambacho kimedai kipo karibu na binti huyo.
HUYU HAPA HAFSA
Timu ya gazeti hili kwa msaada wa chanzo chetu, ilifanikiwa kukutana na Hafsa ambaye kwa mwonekano ni binti mdogo na mpole kiasili, akazungumza mengi yanayomsibu katika maisha yake.
“Sikujua kama maisha yangu yangeishia hivi. Sikutegemea kama ningeteseka kiasi hiki. Kwanza mimi sijawahi kuwaona wazazi wangu. Niliambiwa tu walikufa tangu nikiwa mdogo, kwa hiyo nilikulia kwa wazazi wa kufikia huko Bukoba,” anaanza kusimulia Hafsa.
Akaendelea: “Baada ya kuolewa, maisha yalikuwa ya shida sana. Nilichukuliwa hapa Dar na kwenda kuishi na huyo mume wangu Arusha baada ya kufunga naye ndoa. Alikuwa haniachii fedha ya matumizi wakati mwingine lakini hali yake ya kuugua kila mara iliniogopesha ingawa sikuwahi kufikiria kabisa suala la ukimwi.
“Nilibahatika kupata mtoto na huyo bwana na hapo ukawa mwanzo wa mimi kuanza kuugua mfululizo. Nikiwa bado naumwa, mume wangu alifariki dunia. Basi, maisha yangu yakazidi kuwa magumu maana sikuwa na msaada wowote.”
DOKTA AMWAMBIA UKWELI
“Nikiwa nakwenda kliniki huku afya yangu ikiwa si ya kuridhisha, daktari mmoja alinishauri nifanyiwe vipimo. Ilibidi nishauriwe sana kabla ya kupimwa na kwa bahati mbaya nikagundulika kuwa nina ukimwi. Hata mwanangu pia ameathirika.
“Najua walinificha kwa muda mrefu kutokana na umri wangu, maana sasa nina miaka 19 na mwanangu mitatu, kwa hiyo wakati najifungua nilikuwa na 16 tu. Naiona dunia chungu kwa kweli.”
MAISHA MAGUMU ARUSHA, ARUDI DAR
“Kutokana na maisha ya mateso ya ndugu wa mume wangu kule Arusha, nilijikusanya nikapata nauli, nikaamua kutoroka na kurudi zangu Dar. Sikuwa na mahali pengine pa kwenda zaidi ya kurudi kituoni nilipokuwa nalelewa.”
ANYANG’ANYWA MWANAYE
“Mwanangu ndiye alikuwa faraja yangu pekee lakini wakwe zangu walikuja kuninyang’anya mtoto wakisema eti sina uwezo wa kumlea. Kwa kuwa ni damu yao, sikuwa na jinsi ikabidi nikubali tu. Sasa hivi anaishi nao huko Temeke.
“Nashukuru Mungu, nilipata msamaria (aliomba asitajwe jina lake) ambaye aliguswa na ugumu wa maisha yangu, akanikaribisha nyumbani kwake. Naishi naye Mbagala – Zakheem (Dar), lakini nina ugumu wa maisha. Kama unavyojua, siwezi kumtegemea yeye kwa kila kitu.”
ANAHITAJI MSAADA WAKO
Kama umeguswa na kisa cha Hafsa na ungependa kumsaidia kwa hali na mali, unaweza kufanya hivyo kwa kutumia namba 0783 855453 au 0713522779.

Aibu! Mke wa mtu anaswa wizi wa vitenge….!!

ANGEL Zambi ambaye ni mke wa mtu, mkazi wa Kitongoji cha Ipogolo mjini Iringa amenaswa akiiba vitenge na kanga kwenye duka moja, Risasi Mchanganyiko linakupa ‘ei tu zedi’.
Tukio hilo la aibu lilijiri Jumatatu iliyopita saa 5:10 asubuhi kwenye Mtaa wa Uhindini mjini Iringa jirani kabisa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kanisa Kuu.

Wakizungumzia tukio hilo, baadhi ya mashuhuda waliliambia gazeti hili kwamba, siku ya tukio, mwanamke huyo akiwa na wenzake watano walifika katika duka hilo la Elizabeth Mlowe kama wateja wa jumla wa nguo.

“Walimkuta binti muuzaji,  wakaanza kumsumbua kwa kuagiza nguo bila mpangilio, yule anaagiza aina ile  huku mwingine akiomba kusogezewa vitenge na kanga. Hali hiyo ilimchanganya muuzaji na kujikuta akiibiwa kirahisi na Angel,” alisema shuhuda mmoja.
vite

Akihojiwa na paparazi wetu, mwanamke huyo mwenyeji wa Mbeya aliyeolewa Iringa alisema kuwa alijiunga na mtandao wa wizi kwa kuzunguka madukani siku mbili zilizopita (Jumamosi).

Alisema kuwa mtandao huo unajulikana kwa jina la Zubaa Tutajirike (Zutu), upo Ipogolo kwa sasa lakini ulianzishwa jijini Mbeya ila baada ya kugundulika mbinu yao walihamia Iringa na kuendelea na wizi huo.
“Kwa kweli najuta sana,   ni mara yangu ya kwanza kuingia katika kazi hii hapa Iringa, wenzangu ambao wamenikimbia wao ni wenyeji. Mume wangu alinikataza kutembea nao, ila leo nimemtoroka,” alisema kisha kupelekwa polisi mjini hapa.



HIKI NDICHO ALICHOKISEMA DIAMOND PLATINUMZ BAADA YA NYIMBO YAKE YA MY NUMBER ONE FT DAVIDO KUFIKA NAFASI YA KWANZA KATIKA STESHENI YA TRACENIGERIA.

Leo ni siku kubwa sana kwa msanii wa kizazi kipya Diamond Platinumz na washabiki wake, pamoja na wana-Bongo flava, ambao kila siku tunatamani kuona mziki huu wa nyumbani unavuka mipaka na kwenda mbali, nakuleta heshima nyumbani kwetu, kukuza mapato ya watu wetu na kuzidi kujivunia kilicho chetu...

Haya ni maneno machache ya Diamond Platinumz aliopost leo mchana kwenye account yake ya instagram,... soma hapa chini.
"Need i say More...???? My Prayers are slowly been answered... Trust me! we getting there... S/O to @trace_inter for keeping that pace of promoting African Music Constant Cc @TraceNigeria #numberOne #1 #wasafi

MAPICHA:WASANII WA BONGO WALIOWAHI KUWA NUSU UCHI STEJINI


Wema Sepetu
Wema sepetu ndio anaongoza kwa hili swala la kujisahau stejini na kuacha “maliasili” zake zikiwa wazi. Hii imemtokea miaka miwili mfululizo. kwanza mwaka 2011  mjini Morogoro baada ya kupanda stejini na kuanza kuimba pamoja na boyfriend wake Diamond,lakini hiyo isingetosha kama angeondoka jukwaani bila kuachia wowowo lake mbele ya mashabiki waliofurika uwanja wa Jahmhuri kushuhudia burudani za Fiesta 2011!!!.
Wema-Sepetu-uchi-vibe-co-tz
Kama hiyo haitoshi mwaka 2012 katika Tamasha la Serengeti Fiesta lilipofanyika mkoani Dodoma wema alirudia yaleyale ya mwaka uliopita na tofauti na mwaka 2011 , wema aliomba msamaha  mbele ya waandishi wa habari.“ Kiukweli hatujafurahia na tumeumia sana na natumia fursa hii kuomba Msamahaalisema wema
Wema-Sepetu-uchi-2-vibe-co-tz
Baby Madaha
usiku wa kuamkia Septemba 17, mwaka 202  kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro ambako kulikuwa na tamasha kubwa la Serengeti Fiesta wananchi walimshuhudia Baby Joseph Madaha akijikuta akiumbuka mbele ya mashabiki wake baada ya matiti a.k.a nido zake kuchomoza na kuonekana hadharani akiwa jukwaani.
Baby-madaha-matiti-nje-vibe-co-tz
Aunty Ezekiel
Pia aunty ezekiel aliungana na wema sepetu katika kutia aibu fiesta dodoma mwaka 2012. Aunty ezekiel naye aliungana na wema kuita vyombo vya habari na kuomba msamaha.
aunty-Ezekiel-uchi-vibe-co-tz

Shamsa Ford atoa ONYO kali kwa Wanawake wanaomvizia mume wake


Mwanadada anayefanya poa Bongo Movies, Shamsa Ford amewataka wanawake wanaomfuatilia mumewe, Dickson waache mara moja.

Shamsa alisema, anakerwa sana na tabia ya wanawake wanaomfuata mumewe kwani hata wale wa ‘zilipendwa’ wameanza kujirudisha upya kitu ambacho hatakubaliana nacho.
 “Hawa wanawake hawana adabu wala aibu, ninawatahadharisha tu, wakae mbali na mume wangu kabla sijawaanika hadharani kwenye vyombo vya habari, kwanza hawawezi kufanikiwa, najiamini.”

HURUMA: HAYA NDO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA...TAZAMA HIZI PICHA DAH INASIKITISHA SANA...!!



Madereva wa malori zaidi ya mia tatu wamegoma kuendelea na safari katika barabara kuu itokayo Dodoma hadi Mwanza baada ya dereva mwezao aliyekuwa akiendesha lori kuvamiwa na majambazi katika eneo la kisaki manispaa ya Singida. 
 
Wakiongea na ITV /Radio one madereva ambao wamekutwa katika eneo hilo wameomba  jeshi la polisi kufanya doria mara kwa mara eneo hilo kwani kumekuwa na matuki  yanayo jirudia ya utekeji wa magari  kwa kuweka mawe makubwa barabarani na kuwajeruhi madereva jambo ambalo lina tishia amani kwa watumiaji wa barabara.
 
Madereva wa malori baada ya kufunga barabara naibu waziri wa Afrika mashariki Dr. Abdulla Abdulla alikumbwa na adha hiyo na kusema ni haki ya kikatiba kwa madereva kugoma kwa kudai haki zao, kutokana na hali hiyo amewahaidi madereva kupeleka kilio chao katika mamlaka husika ili kuweza kutatua tatizo lao na kukomesha vitendo vya uvamizi wa magari katika eneo hilo .
 
Kwa upande wake kamanda wa jeshi la polisi mkoani Singida  SACP Geofrey Kamwela amesema madereva waliamua kusimama barabarani bila sababu yeyote kwa muda wa zaidi ya masaa matatu na kusababisha foleni kubwa ambapo kwamujibu wa sheria za usalama barabarani walikuwa wamefanya kosa ,lakini baada ya viongozi kufika na kuwasikiliza waliamua kuendelea na safari.
 
Naye dereva wa lori bwana Agustino Mbawala aliye tekwa, akiwa amelazwa katika hospitali ya mkoa wa Singida akiongea kwa shida huku akiwa na maumivu makali amesema aliona mawe makubwa barabarani na kuamua kusimama na kukimbia lakini wali mvamia na kumpiga hatimaye  kumpora fedha na simu. 

>>ITV

HURUMA: HAYA NDO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA...TAZAMA HIZI PICHA DAH INASIKITISHA SANA...!!















HII NI LAANA NA KUKOSA MAADILI...!! TAZAMA PICHA ALIYOPIGA HUYU DADA NA KUIWEKA MTANDAONI...

Hivi msichana unapopiga picha kama hii na kuiweka mtandaoni, unakuwa unafikiria nini...?? Mbadilike jamani wadada mnatuhaibisha sana..
  Bongonews ina laani vikali tabia hii iliyokithiri hapa nchini..

DEREVA BODABODA ACHEZEA KICHAPO TOKA KWA TRAFIKI JIONEE HAPA.

Dereva bodaboda (hakutambulika jina lake) baada ya kupokea kichapo cha askari wa usalama barabarani (nae hakutambulika jina)eneo la Vingunguti

                  ...akionesha uso wa hudhuni baada ya kichapo. 
Askari wa usalama barabaranui (hayupo pichani) anadaiwa kumjeruhi dereva bodaboda eneo la vingunguti jijini dar. Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa, tukio hilo limetokea leo majira ya mchana wakati dereva huyo alipokutana na askari akiwa amebeba abilia wawili maarufu kama"mshikaki". baada ya askri huyo kutaka kupata maelezo ya kina kutoka kwa dereva huyo, ndipo ikatokea hali ya kutyoelewana ndipo askari huyo huyo aliamua kumzaba kibao na kumjeruhi kama picha zinavyoonesha hapo juu.
(PICHA NA: HARUNI SANCHAWA/ GPL)

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger