Home » » HUYU NDO MZEE MWENYE HATI MILIKI YA YANGA...ASEMA YEYE NDO MMILIKI HALALI WA YANGA

HUYU NDO MZEE MWENYE HATI MILIKI YA YANGA...ASEMA YEYE NDO MMILIKI HALALI WA YANGA

Mmiliki halali wa Yanga aibuka na kuidai klabu yake kutoka kwa viongozi wa sasa! Asema yeye na Tabu Mangala ndio walioisajili klabu serikalini mwaka 1967. Aongeza tokea Tabu Mangala ajitenge
na kuanzisha Pan Afrika 1975, yeye akabaki na hati zote za klabu na amekuwa akizilipia. Nini maoni yako?
Source: East Africa Television
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger