Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed
Shein akikagua gwaride la heshima wakati wa kilele cha sherehe za miaka
50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amani Abeid Karume leo
Januari 12, 2014. Vijana
wakiachia njiwa kama alama ya amani wakati wa kilele cha sherehe za
miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amani Abeid Karume
leo Januari 12, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein wakimpongeza Rais Yoweri
Kaguta Museveni aliyeongea machache wakati wa kilele cha sherehe za
miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amani Abeid Karume
leo Januari 12, 2014. Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein kwa hotuba nzuri
aliyotoa wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya
Zanzibar katika Uwanja wa Amani Abeid Karume leo Januari 12, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Yoweri Kaguta Museveni wakiongea
wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika
Uwanja wa Amani Abeid Karume leo Januari 12, 2014. (PICHA NA IKULU)