Home » » Mwili wa Marehemu William Mgimwa ambaye alikuwa ni waziri wa fedha waagwa katika viwanja vya Kalimjee jijini DAR.

Mwili wa Marehemu William Mgimwa ambaye alikuwa ni waziri wa fedha waagwa katika viwanja vya Kalimjee jijini DAR.


 Jeneza lenye mwili wa marehemu likiwa viwanjani hapo wakati wa shughuli za kuaga.
 Rais Jakaya Kikwete pamoja na Mama Salma wakiaga mwili wa marehemu Dk. Mgimwa.
  
 Rais Jakaya Kikwete pamoja na Mama Salma wakiaga mwili wa marehemu Dk. Mgimwa.
 
 Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal akimpa mkono wa pole mke wa marehemu Dk. Mgimwa, Jane Mgimwa baada ya kuaga mwili.
 Spika wa Bunge, Anna Makinda akiaga mwili wa marehemu.
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Mgimwa.
  
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger