Home » » Rais Kikwete ahudhuria sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Kenya leo.

Rais Kikwete ahudhuria sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Kenya leo.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete(kulia) wakiwa  katika  sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Kenya zilizofanyika katika uwanja wa Michezo wa Kasarani mjini Nairobi leo.



Kushoto ni Mwenyeji Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta.Watatu kushoto ni Naibu Rais Wa Kenya William Ruto,Watano Kushoto ni Waziri Mkuu wa Ethiopia Haile Mariam Desalegn, na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi na mkewe.
(picha na Freddy Maro)
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger