Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.
Willbroad Slaa akiwahutubia wananchi wa Igunga mjini jana katika Uwanja
wa Barafu wakati akihitimisha ziara ya kuimarisha na kukagua uhai wa
chama, mkoani Tabora.
Wananchi wa Igunga mjini wakiinua mikono juu wakati Dk. Slaa akiwahutubia jana katika Uwanja wa Barafu mkoani Tabora.