wema
sepetu ameoneka akipost kitu kwa mara ya kwanza kwenye mitandao ya
kijamii baada ya muda mrefu toka msiba wa baba yake ulipotokea hivi
karibuni.
Katika
post hiyo Wema amewataka “Teamwema” wapunguze jazba juu yanayotokea juu
yake na kuwasihi kuwa wapunguze kutumia lugha ya matusi kwenye mitandao
hiyo maana wanamuumiza ‘madame’..tazama alichokisema hapa...
