Home » , » VIDEO: NORAH AKANUSHA KUPIGWA NA RAY C..ASEMA YEYE NA RAY C NI MASHOSTI WA KUFA MTU....!

VIDEO: NORAH AKANUSHA KUPIGWA NA RAY C..ASEMA YEYE NA RAY C NI MASHOSTI WA KUFA MTU....!

Baada ya habari nyingi sana kuzagaa kwenye mitandao kuwa mwanadada Ray C amegeuka bondia na kumpiga kwa knock-out kali mwanadada Norah, hatimaye kupitia mtandao mmoja maafufu wa kijamii tumeweza kupata video ikimuonesha mwanadada Norah akisema kuwa tukio hilo si la kweli na kwamba yeye na Ray C ni mashosti wa kufa mtu na kuwa habari hizo ni za uzushi tuu.
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger