Home » » KALI YA MWAKA: HAWA NDIO WAPENZI WALIOFUNGA NDOA KATIKA MAZINGIRA YA AJABU..!! WATAZAME HAPA, NI KITUKO KWELI....

KALI YA MWAKA: HAWA NDIO WAPENZI WALIOFUNGA NDOA KATIKA MAZINGIRA YA AJABU..!! WATAZAME HAPA, NI KITUKO KWELI....

Josh Hughes na Shelley Davie wakifunga pingu za maisha uchi.

Hawa nao wakatoa yao kali chini ya bahari.Baadhi ya watu wamekuwa wakipenda siku yao muhimu katika maisha yao iwe ya kukumbukwa daima. Kwa mfano wengi wamefunga ndoa zao katika mazingira ya ajabu na wengine wamekwenda mbali zaidi na kuamua kufunga pingu za maisha wakiwa uchi wa mnyama. Bi harusi Shelley Davie na Bwana harusi Josh Hughes wa Melbourne, Australia wao walitoa kali zaidi pale walipooana wakiwa uchi kabisa.
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger