Irene Uwoya hana UKIMWI.....
Hii
si kauli yangu...Ni kauli ya Mama Krish "Irene Uwoya" ambayo
imewekwa katika ukurasa wake wa Instagram ikiambatana na cheti
cha maabara kinachoonesha kwamba yeye ni mzima wa afya( hana
ngoma )...
Pamoja na ambatanisho hilo, Uwoya amewataka watanzania kujiwekea mazoea ya kupima UKIMWI ili kujua afya zao