Home » , » Hii ndio Video ya Kikao cha Kamati kuu CDM walipomvua Zitto nyadhifa zake zote za Uongozi ndani ya CHADEMA.

Hii ndio Video ya Kikao cha Kamati kuu CDM walipomvua Zitto nyadhifa zake zote za Uongozi ndani ya CHADEMA.


Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimemvua nyadhifa zote za uongozi naibu katibu mkuu wa chama hicho Mh. Zitto Kabwe na wenzie wawili kufuatia vitendo walivyofanya vya kukihujimu chama hicho na kupewa siku kumi na nne za kujieleza kimaandishi kwanini wasichukuliwe hatua za kinidhamu ikiwemo kuvuliwa uwanachama.


ANGALIA VIDEO HAPO CHINI

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger