Home » » HATIMAYE ROSE NDAUKA AAMUA KUPUMZIKA KUIGIZA..ACHOSHWA NA FILAMU ZA KIBONGO ZINAZOFANANA KARIBU ZOTE..!

HATIMAYE ROSE NDAUKA AAMUA KUPUMZIKA KUIGIZA..ACHOSHWA NA FILAMU ZA KIBONGO ZINAZOFANANA KARIBU ZOTE..!

Mwigizaji Rose Ndauka amesema kuwa anapumzika kwenye tasnia ya filamu kwa mwaka mmoja kwakuwa filamu za Tanzania zinafanana sana na anataka aje na kitu kipya na tofauti.


Kwa mujibu wa gazeti la mwanaspoti Rose Ndauka amesema wazo hilo limetokana na tatizo la kufanya kazi zinazojirudia mara kwa mara, hali iliyomfanya aamue kujipa likizo ya muda ili kujipanga.
Hata hivyo kauli hiyo inaweza kuwa na utata muigizaji huyo ni mjamzito kwa sasa na huenda hiyo ndio ikawa ni sababu kubwa ya yeye kusimama kwa muda.
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger