Home » » BREAKING NEWS: MSANII PROFESA JAY APATA AJALI MBAYA YA GARI MAENEO YA KIMARA JIJINI DAR..!!

BREAKING NEWS: MSANII PROFESA JAY APATA AJALI MBAYA YA GARI MAENEO YA KIMARA JIJINI DAR..!!

Taarifa zilizotufikia ni kwamba Mwanamuziki wa Hip hop, Joseph Haule 'Profesa Jay' amepata ajali ya gari baada ya kuparamia kifusi akijaribu kumkwepa mtu eneo la Kimara-Baruti, jijini Dar wakati akitoka nyumbani kwake Mbezi! Prof hajaumia sana katika ajali hiyo japo gari lake limharibeika.
Muonekano wa gari baada ya ajali eneo la Kimara-Baruti, jijini Dar.


--GPL
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger