Home » , » ZITTO AANZA KAZI ILIYOMPELEKA USWIS..ATUMA PICHA HII KAMA USHAHIDI..

ZITTO AANZA KAZI ILIYOMPELEKA USWIS..ATUMA PICHA HII KAMA USHAHIDI..

Habari zilizoenea leo ni kwamba Zitto Amekwenda Uswiss kufuatilia mabilion ya yaliyotunzwa huko na mafisadi ...Jioni hii amepost kwenye facebook yake picha hiyo hapo juu akiwa na caption hii hapa chini:

"Siku ya kwanza ya kazi hapa Uswiss, mikutano mizuri sana na Waziri wa Fedha na timu yake, Shirika la Maendeleo #SDC na asasi ya #AllianceSud " Zitto
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger