Home » » WEMA AFUNGUKA KUHUSU UHUSIANO WAKE NA DIAMOND...!! SOMA HAPA...

WEMA AFUNGUKA KUHUSU UHUSIANO WAKE NA DIAMOND...!! SOMA HAPA...

wema11
Wema Sepetu mwenyewe anajua kwamba watu wengi wanafikiri yeye anawaza kuwa na Diamond hivi sasa, lakini ametoa majibu ya hayo mawazo kwenye hii picha. Maana ya hii picha ni kwamba watu wengi wanafikiri kwamba muda wote Diamond yupo kwenye kichwa cha Wema, lakini yeye mwenyewe anasema kwamba muda wote anafikiria pesa. Unaionaje hiyo 

picha?wemasepetu
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger