Home » » WATUMIAJI WA FACEBOOK WAMKERA SANA HUYU MSANII KUTOKA TANZANIA.

WATUMIAJI WA FACEBOOK WAMKERA SANA HUYU MSANII KUTOKA TANZANIA.

Anaitwa Witnesz na hichi ndicho alichoandika!! ''jamani humu sisi ni marafiki sawa? ninawapeni tu dondoo kwa wale mliozoea kuniita,bby,mrembo wangu,mpenzi swthrt na kutamani kuniona kwa nia zenu za kimapenzi leo ninawachana live, mimi huwa ninatumia akaunti yangu ya facebook na mpenzi wangu na anapassword zote so msijichoreshe kwa kunijaribu,na kwa kuwa tuna aminiana mtu akileta hizo tu tunamblock iwe kwenye akaunti yake ama yangu,so usifanye hivyo ninakusihi ili usipoteze hata chembe ya urafiki uliopo wa fb, much love''

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger