Home » » VIDEO YA ''TEMA MATE TUWACHAPE'' YA MADEE KUFANYIKA NJE YA NCHI...

VIDEO YA ''TEMA MATE TUWACHAPE'' YA MADEE KUFANYIKA NJE YA NCHI...

Madee ni mmoja KATI ya wasanii wa bongo flava waliopata mafanikio makubwa sana katika soko zima la bongo flava. Hii ni mara ya kwanza kwa msanii Madee kufanya video yake nje ya nchi. Madee sasa amepania kutanua soko lake la muziki na kusafiri hadi Kenya ili kutengeza video ya wimbo wake mpya wa Tema Mate Tuwachape.

Hivi karibuni Madee alitangaza kufanya remix ya wimbo wake uliotamba sana mwaka huu “pombe yangu” huku akishirikiana na wasanii wa nje ya Tanzania
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger