Home » » VIDEO: AMINI ALEZEA JUU YA UHUSIANO WAKE NA LINAH...

VIDEO: AMINI ALEZEA JUU YA UHUSIANO WAKE NA LINAH...

Watu wengi na hasa wapenzi wa mziki mzuri kutoka kwa Amini Mwinyimkuu na Linah Sanga wamekuwa wakijiuliza maswali mengi kuhusu uhusiano wao wa kimapenzi waliokuwa nao umeishia wapi.




Kupitia Kurasa ya EATV Amini amethibitisha juu ya kutokuwa na mahusiano ya kimapenzi na Linah na kugusia mahusiano yake mapya kidoooogo
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger