
Kama ulikua unafikiri Binadamu ndio wazee wa malavi davi basi umechemsha tena sanaaaaaa!!!

Panya ndie mnyama anaeongoza kwa panya Dume na panya Jike kujamiiana ndani ya miezi 18 panya Dume na Panya Jike wananakua wamezaa watoto wasiopungua milioni 1 je ulikua wajua ukikaa hapa utajua mengi usiyo yajua!
