Home » » TAZAMA VIDEO YA YULE MGANGA ALIYEKAMATWA NA KIGANJA CHA BINADAMU KIKIVUJA DAMU HUKO MWANZA...!

TAZAMA VIDEO YA YULE MGANGA ALIYEKAMATWA NA KIGANJA CHA BINADAMU KIKIVUJA DAMU HUKO MWANZA...!

Watu watatu wakiwemo waganga wawili wa jadi wamekamatwa na polisi katika eneo la Igombe Tx, jijini Mwanza wakiwa na kiganja cha mkono wa kulia unaoaminika kuwa wabinadamu.
 


Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, kamishna msaidizi wa polisi Joseph Konyo amesema tukio hilo limetokea eneo la kati ya ziwani na nyuma ya uwanja wa ndege wa Mwanza baada ya raia wema kuwapa taarifa za siri.
              VIDEO                    HII                          HAPA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger