Home » » TAMKO LA MAHAKAMA KUU KUHUSU KESI YA KAMPUNI ZA SIMU KUPINGA KODI YA SH 1000 KWA KILA LAINI YA SIMU..

TAMKO LA MAHAKAMA KUU KUHUSU KESI YA KAMPUNI ZA SIMU KUPINGA KODI YA SH 1000 KWA KILA LAINI YA SIMU..


MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana iliziruhusu kampuni tano za simu kuingia kwenye kesi ya msingi kupinga sheria ya kodi ya sh 1,000 kwa kila laini ya simu.
 
Kuruhusiwa kwa kampuni hizo kulitokana na mjadala ulioibuka Oktoba 7, mwaka huu, mahakamani hapo baada ya upande wa Jamhuri kupinga kuingia kwa kampuni hizo na kuzua mjadala wa kisheria.
 
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger