Home
                          
                          »
                          
WASANII
                          » 
                          "SIPO TAYARI KUMVULIA NGUO BWANA MISOSI LABDA ANIBAKE..." AMANDA
 
Staa  wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi  ‘Amanda’ amefunguka kuwa 
hawezi kurudia  makosa tena kwa kumvulia  nguo  aliyekuwa mpenzi wake, 
Joseph Rashau ‘Bwana Misosi’.
Akiongea  na  mwandishi wetu muda mchache baada ya wadau kibao kumtaka 
mwanadada huyo arudiane na mpenzi wake huyo kupitia mtandao wa kijamii 
wa Facebook, Amanda alisema tayari ameshapenda kwingine hivyo hapendi 
kumzungumzia mtu aliyeachana naye pia hana tabia ya kurudia matapishi 
yake.
"Sipo 
 tayari  kumvulia  nguo  bwana Misosi, labda  anibake,  kwani  
nikishaachana  na  mtu  huwa  namtoa  moyoni  kabisa  na  ndio  maana  
sipendi  hata  kusikia  lolote  juu  yake"..Alisema  Amanda