Nguza Viking ‘Babu Seya’ (kulia) na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ wakitoka mahakamani kwa furaha.
Baada
ya majaji wa Mahakama ya Rufaa jijini Dar es Salaam kupitia hoja za
mawakili wa serikali na utetezi kwenye Rufaa ya hukumu ya kifungo cha
maisha jela katika kesi iliyokuwa ikimkabili mwanamuziki Nguza Viking
‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’, wameamua kuhairisha
rufaa hiyo mpaka tarehe husika ya kutoa hukumu ya kesi hiyo
itakapopangwa hapo baadaye.
(Picha na Richard Bukos / GPL)