Home » » PICHA: AL SHABAB WAKISHEREKEA USHINDI WA SHAMBULIO LA WESTGATE KENYA

PICHA: AL SHABAB WAKISHEREKEA USHINDI WA SHAMBULIO LA WESTGATE KENYA

Kundi la wanamgambo wa Al Shabab kutoka Somalia, Siku ya Jumanne walifanya sherehe ya kujipongeza.Sherehe hizo zilifanyika katika eneo la Barawa baada ya kufanya shambulio la mauaji nchini Kenya katika maduka ya Westgate Mwezi septemba Tar 21 ambapo watu takribani ya 67 walipoteza maisha ikidaiwa ni kulipa kisasi kwa mauaji yaliyofanywa na wanajeshi wa Kenya mjini Kismayo.
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger