Home » » Picha 7 za wale watanzania waliokamatwa wakifanya mazoezi ya kijeshi kwa kutumia CD za Al Shabaab....Hapa walikuwa mahakamani

Picha 7 za wale watanzania waliokamatwa wakifanya mazoezi ya kijeshi kwa kutumia CD za Al Shabaab....Hapa walikuwa mahakamani



Hawa  ni  vijana  wa  kitanzania 11  ambao  walikamatwa  na  jeshi la polisi   Mtwara baada ya  kupata taarifa kwamba  walikua wakifanya mazoezi ya kivita kwa kutumia CD za  Al Qaeda na Al Shabaab ambapo walikamatwa na hizo CD  pamoja  na  silaha   mbalimbali  kama  ushahidi...

Taarifa ya jeshi la Polisi leo  imesema kuwa , vijana  hawa walipelekwa Mahakamani na watarudishwa tena tarehe 4 November 2013.
 
 
 
 
 
 



 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger