Home » » MWIGIZAJI MAARUFU VAN VICKER ASHEREKEA MIAKA 10 YA NDOA YAKE...

MWIGIZAJI MAARUFU VAN VICKER ASHEREKEA MIAKA 10 YA NDOA YAKE...





Juzi,october 16th ilikuwa ni siku ambayo Van Vicker na mke wake wamefikisha miaka kumi tangu waoane. Mwigizaji Van Vicker ameonyesha picha ya zamani ya mwaka 1995 ya yeye na mke wake. Ni miaka 19 sasa tangu waanze  mahusiano. Mastaa wengi imekuwa tabu kumaliza hata mwaka kwenye mahusiano,sijui wanakuwa na matatizo gani lakini hawa kweli ni mfano wa kuigwa kwasababu ukiacha dunia hii iliyoharibika wameweza kudumu kwa miaka 19 kwenye mahusiano na tangu waoane ndoa yao imekuwa imara mwaka wa kumi sasa. Kwanza nawapongeza alafu naiombea familia yao maisha marefu yenye upendo kama huo na kuwaasa mastaa wengine kuiga mfano huu kuacha au kuachwa mara kwa mara sio sifa nzuri. Wao kama vioo vya jamii inawabidi kutuonyesha sisi mambo mazuri ya kuiga na sio skendo kila iitwapo leo....

Kuonyesha furaha yake Van Vicker aliandika ujumbe ufuatao
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger