Home » , » Mkuu wa kituo cha polisi wilaya ya Kilindi apigwa Risasi na kundi la vijana waliokuwa msituni wakifanya mazoezi ya kijeshi..

Mkuu wa kituo cha polisi wilaya ya Kilindi apigwa Risasi na kundi la vijana waliokuwa msituni wakifanya mazoezi ya kijeshi..

Mkuu wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga Inspekta Nsekelo amejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi na kundi la watu wasiojulikana waliokuwa wanafanya mazoezi ya kijeshi katika vijiji vya Lolagana na Mwambe baada ya kutokea mapambano baina ya kikundi hicho na polisi.

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger