Home » » JAHAZI LATEKETEA KWA MOTO KATIKA BAHARI YA HINDI NA KUUA WAVUVI 11...

JAHAZI LATEKETEA KWA MOTO KATIKA BAHARI YA HINDI NA KUUA WAVUVI 11...

Jahazi inayosadikiwa ni ya wavuvi iliyokuwa na takribani watu 11 imeteketea kwa moto katika bahari ya Hindi eneo la Mtukule  leo  asubuhi.
 


 Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam  limethibitisha kuokolewa kwa wavuvi wote 11 ambao Jahazi lao liliwaka moto katika eneo la Nyakatome. 
 
-ITV
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger