![]() |
| Hiki ni kitu kipya ndani ya Azam Complex, makao makuu ya klabu ya Azam FC, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. |
![]() |
| Upanade wa juu wa Canteen kuna michezo ya aina mbalimbali kama huu. Kulia ni beki wa Azam FC, Aggrey Morris na kushoto shabiki wa timu hiyo Ally Mkonya |
![]() |
| Inapendeza na wageni wanafurahia pia |
![]() |
| Jamaa wanakwenda kuagiza chakula Canteen |
![]() |
| Canteen nzuri |




