Home » » CHUCHU HANZ ATIMKIA INDIA BAADA YA SKENDO YA KUPIGANIA PENZI LA RAY...

CHUCHU HANZ ATIMKIA INDIA BAADA YA SKENDO YA KUPIGANIA PENZI LA RAY...


















  Baada   ya   mwigizaji Chuchu Hans kukwaa skendo ya kupigania penzi la Vincent Kigosi ‘Ray’ na mwenzake Blandina Chagula ‘Johari’, amedaiwa kutimkia nchini India wikiendi iliyopita kwa lengo la kupunguza stress.

Chanzo  kimoja  cha habari kikiongea  na GPL kimedai kuwa  tangu skendo hiyo iliporipotiwa, Chuchu  amekosa amani na amekuwa mtu wa kujificha sana.

 


Amekwenda kwa shangazi yake India, amesafiri wikiendi hii kwa ndege ya Emirates, tena ili kukwepa macho ya watu ameondokea Zanzibar. Ile skendo imemchanganya sana,” kilisema chanzo hicho.
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger