Home
»
WASANII
,
Wema
»
"NILISHAWAHI KUROGWA NA NAAMINI USHIRIKINA UPO....." WEMA SEPETU

STAA wa filamu za Kibongo Wema Sepetu amefunguka kuwa katika maisha yake
aliwahi kufanyiwa mambo ya ushirikina(kurogwa) bila kufafanua alirogwa
na nani na alipatwa na nini au ugonjwa gani.
Wema
amefunguka kupitia kipindi chake cha In My Shoes kinachorushwa kila
jumatano kupitia East African TV ambapo aliulizwa kama kama anaamini
ushirikina upon a kama alishawahi kurogwa ambapo alijibu kuwa anaamini
ushrikina upo ila haupi nafasi katika maisha yake kwani anamuamini
Mungu.
‘Yaah!Nilishawahi kurogwa na naamini ushirikina upo ila siupi nafasi katika maisha yangu namuamini Mungu tu,’alisema Wema