KWELI POMBE SIYO CHAI..!! NJEMBA WALEWA CHAKALI NA KULALA MCHANA KWEUPEE..TAZAMA PICHA HAPA
Hawa
jamaaa walikutwa mchana kweupe wamezima kwa kunywa Pombe nyingi na
kuzidiwa..Muda huo wa mchana walitakiwa wawe kazini wakijenga Taifa
lakini wao mi mitungi kwenda mbele.
HIVI MAVAZI KAMA HAYA SEHEMU ZA KAZINI YANAASHIRIA NINI....??
HAPA INAKUAJE,MWANAFUNZI ATAELEWA KWELI JAMANI?!!
Siku
zote ukijiheshimu utaheshimiwa, kujiheshimu huko ni pamoja na mavazi
tunayovaa jamani.....sasa imagine mwalimu anavaa mavazi kama haya
...wanafunzi wataelewa kweli?? ukizingatia kizazi hiki cha
google...Tubadilike jamani !!
WASTARA:SITAKAA NI SAHAU SIKU ALIYOKUFA BABA WA TAIFA KWASABABU NDIO SIKU AMBAYO...??..SOMA ZAIDI HAPA..
Mcheza
filamu mwenye jina kubwa bongo Wastara Juma amesema siku aliyokufa baba
wa taifa hayati mwalimu Nyerere ndio siku aliyoanza kuigiza hivyo awezi
kuhisahau siku hiyo kwenye maisha.yake
Amesema mchezo wake wakwanza alicheza na mzee Majuto uliitwa utaishia kunawa na kwamba hapo ndio ikawa mwanzo wa safari yake kwenye tasnia ya filamu
“Mchezo wangu wakwanza ni utaishia kunawa niliocheza na mzee majuto na weza kusema yeye aliona uwezo wangu kwa wakati ule mpaka.sasa na muheshimu sana“
Wastara mpaka sasa anajumla ya filamu zisizopungua 20 uku filamu yake mpya ya Shaymaa ikiendelea kufanya vizuri sokoni hivi karibuni anatarajia kuachia filamu yake mpaya inayoitwa ‘Last decision‘alikwa na Hemedy Sukeiman na wasanii wengine wengi
Credit: bongoclantz

PICHA 5:AGNESS MASOGANGE ANAJIANDAA KUWA BIBI HARUSI MTARAJIWA NINI...??
AGNESS MASOGANGE
Naye mrembo na videoqueen mashuhuri tanzania AGNESS GERALD "masogange" naye
hivi majuzi ameonesha picha za tattoo alizojichora na picha nyingine
akichorwa kupitia mtandao huohuo wa instagram huku akijiita "bibi harusi mtarajiwa"
hii
imekuja baada ya Mlimbwende kutoka kenya Victoria Kiman kuachia picha
zake akiwa na tattoo za aina hii mapajani pia. kama hukuwahi kuziona BOFYA HAPA
Hizi ni baadhi ya Picha zake alizoweka katika akaunti yake hiyo ya Instagram
DIVA WA CLOUDS: NAMPENDA SANA LULU, NINGEKUWA MWANAUME NINGEMTONGOZA.....!! SOMA HAPA
Mwanadada Loveness aka Diva the Boss mtangazaji wa clouds fm kipindi cha ala za roho,kinachozungumzia
maswala ya mapenzi na mahusiano…..Jana usiku alijikuta akielezea hisia
zake kwa Muigizaji Elizabeth Michel aka Lulu “Kutoka moyoni nampenda
sana huyu binti, ningekuwa mwanaume ningemfuata na kumu approach, sema
mimi ni mwanamke tu”.
Hii
ilikuwa kabla ya kucheza wimbo wa atatamani ambayo ni
version ilioimbwa Lulu. Wimbo halisi uliimbwa na Linnah msanii kutoka
THT
Back
in days .Diva kupitia account yake ya instagram aliwahi kupost picha
hii ambayo ilizua utata….sasa baada ya kumsikia nikashindwa
kumuelewa…Jionee mwenyewe…then achia comment!
credit : domozege blog
MKE: NILIOLEWA ILI NIAMBUKIZWE UKIMWI...!! SOMA MKASA HUU WA KUSIKITISHA
UKISIKIA
simulizi ya Hafsa Ramadhani (19) itakutia simanzi, itakutesa moyo na
kukutoa machozi, huwezi kuamini aliingia kwenye ndoa bila kujua kuwa
alikuwa akienda kukutana na ugonjwa wa ukimwi, Risasi Mchanganyiko
linakufunulia.
Habari
kutoka chanzo chetu cha kuaminika zinasema, binti huyo alifanyiwa
mipango ya ndoa bila yeye na mumewe huyo kupima kwanza maambukizi ya
ugonjwa huo, ingawa tahadhari hiyo ilitolewa mapema kwa kuwa muoaji
alikuwa akijulikana kuwa aliishi na ugonjwa huo kwa muda mrefu.
ILIKUWAJE?
“Huyo binti alitokea Bukoba, akaja hapa Dar es Salaam kutafuta kazi. Akaanza kufanya kazi za ndani, akiwa mdogo kabisa. Alihangaika kwenye nyumba mbalimbali lakini baadaye akafikia kwenye kituo cha watoto yatima (kwa sasa tunahifadhi jina), kipo Charambe ambapo alianza kuishi hapo,” kilipasha chanzo chetu kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini.

“Alipofikisha
umri wa miaka 15 tu, wale watu wa pale kituoni wakamuozesha kwa jamaa
mmoja (jina tunalo) ambaye kwa sasa ni marehemu. Huyo jamaa alikuwa
akiishi na VVU na mbaya zaidi, hao watu wa hapo kituoni, walishauriwa
kuhusu jambo hilo wakapuuza, ndiyo maana wengi wanaamini walimfanyia
makusudi,” kilieleza chanzo hicho ambacho kimedai kipo karibu na binti
huyo.
HUYU HAPA HAFSA
Timu ya gazeti hili kwa msaada wa chanzo chetu, ilifanikiwa kukutana na Hafsa ambaye kwa mwonekano ni binti mdogo na mpole kiasili, akazungumza mengi yanayomsibu katika maisha yake.
“Sikujua kama maisha yangu yangeishia hivi. Sikutegemea kama ningeteseka kiasi hiki. Kwanza mimi sijawahi kuwaona wazazi wangu. Niliambiwa tu walikufa tangu nikiwa mdogo, kwa hiyo nilikulia kwa wazazi wa kufikia huko Bukoba,” anaanza kusimulia Hafsa.

Akaendelea:
“Baada ya kuolewa, maisha yalikuwa ya shida sana. Nilichukuliwa hapa
Dar na kwenda kuishi na huyo mume wangu Arusha baada ya kufunga naye
ndoa. Alikuwa haniachii fedha ya matumizi wakati mwingine lakini hali
yake ya kuugua kila mara iliniogopesha ingawa sikuwahi kufikiria kabisa
suala la ukimwi.
“Nilibahatika kupata mtoto na huyo bwana na hapo ukawa mwanzo wa mimi kuanza kuugua mfululizo. Nikiwa bado naumwa, mume wangu alifariki dunia. Basi, maisha yangu yakazidi kuwa magumu maana sikuwa na msaada wowote.”

DOKTA AMWAMBIA UKWELI
“Nikiwa nakwenda kliniki huku afya yangu ikiwa si ya kuridhisha, daktari mmoja alinishauri nifanyiwe vipimo. Ilibidi nishauriwe sana kabla ya kupimwa na kwa bahati mbaya nikagundulika kuwa nina ukimwi. Hata mwanangu pia ameathirika.

“Najua
walinificha kwa muda mrefu kutokana na umri wangu, maana sasa nina
miaka 19 na mwanangu mitatu, kwa hiyo wakati najifungua nilikuwa na 16
tu. Naiona dunia chungu kwa kweli.”
MAISHA MAGUMU ARUSHA, ARUDI DAR
“Kutokana na maisha ya mateso ya ndugu wa mume wangu kule Arusha, nilijikusanya nikapata nauli, nikaamua kutoroka na kurudi zangu Dar. Sikuwa na mahali pengine pa kwenda zaidi ya kurudi kituoni nilipokuwa nalelewa.”

ANYANG’ANYWA MWANAYE
“Mwanangu ndiye alikuwa faraja yangu pekee lakini wakwe zangu walikuja kuninyang’anya mtoto wakisema eti sina uwezo wa kumlea. Kwa kuwa ni damu yao, sikuwa na jinsi ikabidi nikubali tu. Sasa hivi anaishi nao huko Temeke.

“Nashukuru
Mungu, nilipata msamaria (aliomba asitajwe jina lake) ambaye aliguswa
na ugumu wa maisha yangu, akanikaribisha nyumbani kwake. Naishi naye
Mbagala – Zakheem (Dar), lakini nina ugumu wa maisha. Kama unavyojua,
siwezi kumtegemea yeye kwa kila kitu.”
ANAHITAJI MSAADA WAKO
Kama umeguswa na kisa cha Hafsa na ungependa kumsaidia kwa hali na mali, unaweza kufanya hivyo kwa kutumia namba 0783 855453 au 0713522779.
Kama umeguswa na kisa cha Hafsa na ungependa kumsaidia kwa hali na mali, unaweza kufanya hivyo kwa kutumia namba 0783 855453 au 0713522779.
Aibu! Mke wa mtu anaswa wizi wa vitenge….!!
ANGEL
Zambi ambaye ni mke wa mtu, mkazi wa Kitongoji cha Ipogolo mjini Iringa
amenaswa akiiba vitenge na kanga kwenye duka moja, Risasi Mchanganyiko
linakupa ‘ei tu zedi’.
Tukio hilo la aibu lilijiri Jumatatu iliyopita saa 5:10 asubuhi kwenye Mtaa wa Uhindini mjini Iringa jirani kabisa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kanisa Kuu.
Wakizungumzia tukio hilo, baadhi ya mashuhuda waliliambia gazeti hili kwamba, siku ya tukio, mwanamke huyo akiwa na wenzake watano walifika katika duka hilo la Elizabeth Mlowe kama wateja wa jumla wa nguo.
“Walimkuta binti muuzaji, wakaanza kumsumbua kwa kuagiza nguo bila mpangilio, yule anaagiza aina ile huku mwingine akiomba kusogezewa vitenge na kanga. Hali hiyo ilimchanganya muuzaji na kujikuta akiibiwa kirahisi na Angel,” alisema shuhuda mmoja.
Akihojiwa na paparazi wetu, mwanamke huyo mwenyeji wa Mbeya aliyeolewa Iringa alisema kuwa alijiunga na mtandao wa wizi kwa kuzunguka madukani siku mbili zilizopita (Jumamosi).
Alisema kuwa mtandao huo unajulikana kwa jina la Zubaa Tutajirike (Zutu), upo Ipogolo kwa sasa lakini ulianzishwa jijini Mbeya ila baada ya kugundulika mbinu yao walihamia Iringa na kuendelea na wizi huo.
“Kwa kweli najuta sana, ni mara yangu ya kwanza kuingia katika kazi hii hapa Iringa, wenzangu ambao wamenikimbia wao ni wenyeji. Mume wangu alinikataza kutembea nao, ila leo nimemtoroka,” alisema kisha kupelekwa polisi mjini hapa.

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA DIAMOND PLATINUMZ BAADA YA NYIMBO YAKE YA MY NUMBER ONE FT DAVIDO KUFIKA NAFASI YA KWANZA KATIKA STESHENI YA TRACENIGERIA.
Leo ni siku kubwa sana kwa msanii wa kizazi kipya Diamond Platinumz na
washabiki wake, pamoja na wana-Bongo flava, ambao kila siku tunatamani
kuona mziki huu wa nyumbani unavuka mipaka na kwenda mbali, nakuleta
heshima nyumbani kwetu, kukuza mapato ya watu wetu na kuzidi kujivunia
kilicho chetu...
Haya ni maneno machache ya Diamond Platinumz aliopost leo mchana kwenye account yake ya instagram,... soma hapa chini.
"Need i say More...???? My Prayers are slowly been answered... Trust me!
we getting there... S/O to @trace_inter for keeping that pace of
promoting African Music Constant Cc @TraceNigeria #numberOne #1 #wasafiHaya ni maneno machache ya Diamond Platinumz aliopost leo mchana kwenye account yake ya instagram,... soma hapa chini.
MAPICHA:WASANII WA BONGO WALIOWAHI KUWA NUSU UCHI STEJINI
Wema Sepetu
Wema sepetu ndio anaongoza kwa hili swala la kujisahau stejini na
kuacha “maliasili” zake zikiwa wazi. Hii imemtokea miaka miwili
mfululizo. kwanza mwaka 2011 mjini Morogoro baada ya kupanda stejini na
kuanza kuimba pamoja na boyfriend wake Diamond,lakini hiyo isingetosha
kama angeondoka jukwaani bila kuachia wowowo lake mbele ya mashabiki
waliofurika uwanja wa Jahmhuri kushuhudia burudani za Fiesta 2011!!!.
Kama hiyo haitoshi mwaka 2012 katika Tamasha la Serengeti Fiesta
lilipofanyika mkoani Dodoma wema alirudia yaleyale ya mwaka uliopita na
tofauti na mwaka 2011 , wema aliomba msamaha mbele ya waandishi wa
habari.“ Kiukweli hatujafurahia na tumeumia sana na natumia fursa hii kuomba Msamaha” alisema wema
Baby Madaha
usiku wa kuamkia Septemba 17, mwaka 202 kwenye Uwanja wa Jamhuri
mjini Morogoro ambako kulikuwa na tamasha kubwa la Serengeti Fiesta
wananchi walimshuhudia Baby Joseph Madaha akijikuta akiumbuka mbele ya
mashabiki wake baada ya matiti a.k.a nido zake kuchomoza na kuonekana
hadharani akiwa jukwaani.
Aunty Ezekiel
Pia aunty ezekiel aliungana na wema sepetu katika kutia aibu fiesta
dodoma mwaka 2012. Aunty ezekiel naye aliungana na wema kuita vyombo vya
habari na kuomba msamaha.
Shamsa Ford atoa ONYO kali kwa Wanawake wanaomvizia mume wake
Mwanadada anayefanya poa Bongo Movies, Shamsa Ford amewataka wanawake wanaomfuatilia mumewe, Dickson waache mara moja.
Shamsa alisema, anakerwa sana na tabia ya wanawake wanaomfuata mumewe
kwani hata wale wa ‘zilipendwa’ wameanza kujirudisha upya kitu ambacho
hatakubaliana nacho.
“Hawa wanawake hawana adabu wala aibu, ninawatahadharisha tu, wakae
mbali na mume wangu kabla sijawaanika hadharani kwenye vyombo vya
habari, kwanza hawawezi kufanikiwa, najiamini.”
HURUMA: HAYA NDO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA...TAZAMA HIZI PICHA DAH INASIKITISHA SANA...!!
Madereva wa malori zaidi ya mia tatu wamegoma kuendelea na safari katika barabara kuu itokayo Dodoma hadi Mwanza baada ya dereva mwezao aliyekuwa akiendesha lori kuvamiwa na majambazi katika eneo la kisaki manispaa ya Singida.
Wakiongea na ITV /Radio one madereva ambao
wamekutwa katika eneo hilo wameomba jeshi la polisi kufanya doria mara
kwa mara eneo hilo kwani kumekuwa na matuki yanayo jirudia ya utekeji
wa magari kwa kuweka mawe makubwa barabarani na kuwajeruhi madereva
jambo ambalo lina tishia amani kwa watumiaji wa barabara.
Madereva wa malori baada ya kufunga barabara naibu
waziri wa Afrika mashariki Dr. Abdulla Abdulla alikumbwa na adha hiyo na
kusema ni haki ya kikatiba kwa madereva kugoma kwa kudai haki zao,
kutokana na hali hiyo amewahaidi madereva kupeleka kilio chao katika
mamlaka husika ili kuweza kutatua tatizo lao na kukomesha vitendo vya
uvamizi wa magari katika eneo hilo .
Kwa upande wake kamanda wa jeshi la polisi mkoani
Singida SACP Geofrey Kamwela amesema madereva waliamua kusimama
barabarani bila sababu yeyote kwa muda wa zaidi ya masaa matatu na
kusababisha foleni kubwa ambapo kwamujibu wa sheria za usalama
barabarani walikuwa wamefanya kosa ,lakini baada ya viongozi kufika na
kuwasikiliza waliamua kuendelea na safari.
Naye dereva wa lori bwana Agustino Mbawala aliye
tekwa, akiwa amelazwa katika hospitali ya mkoa wa Singida akiongea kwa
shida huku akiwa na maumivu makali amesema aliona mawe makubwa
barabarani na kuamua kusimama na kukimbia lakini wali mvamia na kumpiga
hatimaye kumpora fedha na simu.
>>ITV
>>ITV
HII NI LAANA NA KUKOSA MAADILI...!! TAZAMA PICHA ALIYOPIGA HUYU DADA NA KUIWEKA MTANDAONI...
Hivi
msichana unapopiga picha kama hii na kuiweka mtandaoni, unakuwa
unafikiria nini...?? Mbadilike jamani wadada mnatuhaibisha sana..
Bongonews ina laani vikali tabia hii iliyokithiri hapa nchini..
DEREVA BODABODA ACHEZEA KICHAPO TOKA KWA TRAFIKI JIONEE HAPA.
Dereva bodaboda
(hakutambulika jina lake) baada ya kupokea kichapo cha askari wa usalama
barabarani (nae hakutambulika jina)eneo la Vingunguti
Askari
wa usalama barabaranui (hayupo pichani) anadaiwa kumjeruhi dereva
bodaboda eneo la vingunguti jijini dar. Chanzo chetu cha habari
kimeeleza kuwa, tukio hilo limetokea leo majira ya mchana wakati dereva
huyo alipokutana na askari akiwa amebeba abilia wawili maarufu
kama"mshikaki". baada ya askri huyo kutaka kupata maelezo ya kina kutoka
kwa dereva huyo, ndipo ikatokea hali ya kutyoelewana ndipo askari huyo
huyo aliamua kumzaba kibao na kumjeruhi kama picha zinavyoonesha hapo
juu.
(PICHA NA: HARUNI SANCHAWA/ GPL)